Nyumba ya Sanaa

Wamfahamu Charles Jagwar, msanii kutoka Kenya?

Sauti 20:00

Leo katika makala ya nyumba ya sanaa tunakuletea mahojiano na msanii Charles Jagwar maarufu kama Jagwar kigeugeu, utafahamu mengi kuhusu msanii huyu na sanaa ya muziki anaofanya, Fuatana na Edmond Lwangi Tcheli. Karibu.