Fahamu mengi kuhusu sanaa za maonesho

Sauti 20:01

Katika makala haya Jumamosi ya leo utafahamu mengi kutoka kwa mwalimu na msanii wa sanaa za maonesho,Vicencia Shule toka chuo kikuu cha Dar es Salaam sambamba naye kimela Bila, Fuatana na Edmond Lwangi Tchel upate uhondo.