Kufa kwa lugha ya kilatini na kukua kwa lugha ya kifaransa.

Sauti 20:02

Katika makala haya juma hili tunaangazia chimbuko la lugha ya kifaransa na jinsi lugha hii ilivyosababisha kufa kwa lugha ya kilatini, Fuatana naye Karume Asangama na Iluminatha Rwelamira, karibu.