Muziki Ijumaa

Mfahamu Bikiyo msanii toka nchini Burundi

Sauti 10:00
Msanii wa Muziki toka Burundi Keza Bikiyo
Msanii wa Muziki toka Burundi Keza Bikiyo RFI/BILALI

Katika makala haya tunakuletea msanii wa kike anaefanya vizuri kwa sasa nchini Burundi, Bikiyo ambaye anaelezea safari yake ya muziki ilipoanzia hadi hapo alipofikia hivi sasa na mipango yake ya baadae. anazungumza na Ali Bilali.