Muziki Ijumaa

Burudani ya Muziki na Olivier Ngoma

Sauti 05:00

Makala ya Muziki Ijumaa juma hili yanamwangazia mwanamuziki Olivier Ngoma kutoka nchini Gabon na mafanikio yake Kimuziki.Ungana na Lizzy Masinga kwa burudani zaidi