Nyumba ya Sanaa

Eliane Becks msanii wa Burundi anayeishi nchini Uholanzi

Sauti 19:30
Eliane Becks Nininahazwe
Eliane Becks Nininahazwe Eliane Becks

Makala haya ya Nyumba ya Sanaa yanamzungumzia msanii wa Uholanzi mwenye asili ya Burundi anayeishi nchini Uholanzi na ambaye anatumia ala za kitamaduni. Anazungumza hapa na mtangazaji Edmond Lwangi Tcheli.