Nyumba ya Sanaa

Avril aelezea maisha yake ya muziki

Sauti 19:21

Katika makala haya juma hili tunakuletea msanii wa muziki kutoka nchini Kenya aitwaye Avril Nyambura akielezea maisha yake binafsi na kimziki. Fuatana na Edmond Lwangi Tcheli upate uhondo.