Siku ya Kimataifa ya lugha ya Kifaransa

Sauti 09:54

Makala ya Habari Rafiki leo hii yanazungumzia kuhusu siku ya Kimataifa ya lugha ya Kifaransa duniani katika kuimarisha uzungumzaji wa lugha hiyo katika kanda ya Afrika Mashariki na Kati.Ungana na Reuben Lukumbuka kwa mengi zaidi.