Nyumba ya Sanaa

Mfahamu Jose Eduardo Niyungeko msanii wa sanaa ya filamu na muziki wa injili kutoka Burundi

Sauti 18:40

Katika makala haya hii leo,Kutana na msanii Jose Eduardo Niyungeko kutoka Burundi akizungumza nasi kuhusu sanaa ya mziki wa injili na filamu, Ungana na Edmond Lwangi Tcheli kupata uhondo