Changu Chako, Chako Changu

Fahamu kuhusu Lugha mfu na kuzaliwa kwa lugha nyingine

Sauti 19:03

Katika makala haya Jumahili utafahamu lugha mfu ni ipi na kuzaliwa kwa lugha nyingine za mawasiliano, fuatana na Karume Asangama na Iluminatha Rwelamira.