Nyumba ya Sanaa

Kutana na kundi la muziki wa hip hop la Four Angle toka nchini Tanzania

Sauti 20:00

Katika makala haya leo tunakuletea kundi la Four Angle la nchini Tanzania linalojihususha na sanaa ya muziki wa Hip Hop, Edmond Lwangi Tcheli amekuandalia mengi. Karibu