Changu Chako, Chako Changu

Dhana ya lugha ya kifaransa katika mataifa ya Afrika

Sauti 20:04

Katika makala haya utafahamu kuhusu dhana ya lugha ya kifaransa na nchi ambazo zinazungumza lugha hii duniani. Fuatana na msimulizi wako Karume Asangama.