Changu Chako, Chako Changu

Muziki wa Afrika kabla na baada ya uhuru

Sauti 18:57

Makala ya Changu Chako, Chako Changu juma hili inaangazia Historia ya muziki wa Afrika hususani kusini mwa jangwa la Sahara tukilinganisha matukio ya kabla na baada ya uhuru, ungana naye Karume Asangama akiwa na Illiminata Rwelamira mwanzo mpaka mwisho wa makala haya.