Changu Chako, Chako Changu

Fahamu mataifa ya Afrika yanayozungumza lugha ya kifaransa

Sauti 20:04

Miongoni mwa mataifa yanayozungumza lugha ya kifaransa barani Afrika ni pamoja na Burundi , Rwanda, Cote d'Voire na mengine mengi, Karume Asangama atakueleza umuhimu wa kujifunza lugha ya kifaransa.Karibu