Muziki wa Injili na Julius Owino Julian

Sauti 19:59

Karibu katika makala hii ya Nyumba ya Sanaa na hii leo utasikia mambo mbalimbali yahusuyo muziki wa Injili, Ungana naye Edomond Lwangi Tcheli katika makala haya ambaye anazungumza na Julius Owino Julian ambaye ni Mwanamuziki wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya.