Nyumba ya Sanaa

Sanaa ya vichekesho na Mujuuka Patrick

Sauti 19:48

Makala yako ya Nyumba ya Sanaa juma hili inazungumza na msanii wa vichekesho toka jijini Kampala Uganda Mujuuka Patrick, karibu ujiunge na mtangazaji wako Edmond Lwangi Tcheli upate kusikia mengi juu ya sanaa hii ya vichekesho.