Muziki Ijumaa

Muziki wa Michael Eugene

Sauti 10:00

Makala ya Muziki Ijumaa wiki hii yanamzungumzia mwanamuziki kutoka Marekani Michael Eugene alimaarufu kama D'Angelo.Ungana na Lizzy Masinga kwa mengi zaidi.