Changu Chako, Chako Changu

Ukiukaji wa haki za binadamu nchini Cote d'Ivoire

Sauti 17:41

Katika makala haya leo tunajikita kuangalia ukiukaji wa haki za binadamu nchini Cote d'Ivoire uliosababishwa na utumwa.Haya ndio mambo ya kihistoria, fuatana na Karume Asangama upate uhondo. Karibu