Nyumba ya Sanaa

Sanaa ya utengenezaji wa vifaa vya nyumbani

Sauti 19:57

Makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili inazungumza na vijana wanaojishughjulisha na sanaa ya utengenezaji wa vifaa mbalimbali vitumikavyo majumbani au katika biashara wakitumia bidhaa za chuma au bati, kupata mengi zaidi jumuika na Edmond Lwangi Tcheli ambaye anazungumza na vijana hao wanaopatikana katika eneo la TAZARA jijini Dar es salaam nchini Tanzania.