Changu Chako, Chako Changu

Dhana ya ukoloni kwa Wafaransa

Sauti 19:37

Makala ya Changu Chako, Chako Changu juma hili inatupia macho dhana ya siasa ya ukoloni ya Ufaransa hususani katika karne ya 19 na 20, kufahamu mengi zaidi juu ya maswala haya ungana na Karume Asangama pamoja naye Illiminata Rwelamira.