Jua Haki Zako

Rasimu ya katiba mpya ya Tanzania

Sauti 08:49

Katika makala haya leo tunaangazia kwa ufupi baadhi ya vipengele katika rasimu ya katiba mya nchini Tanzania, Fuatana na Karume Asangama kufahamu vipengele hivyo. Karibu