Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa na mafunzo ya ufundi stadi

Sauti 20:02

Nyumba ya Sanaa juma hili imetembelea chuo cha mafunzo ya ufundi stadi katika jiji la Dar es salaam nchini Tanzania, kujua mengi zaidi kuhusiana na mafunzo yatolewayo chuoni hapo ungana na mtangazaji wako Edmond Lwangi Tcheli wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio France International.