Nyumba ya Sanaa

Fahamu kuhusu sanaa ya uchoraji

Sauti 20:01
Sanaa ya uchoraji
Sanaa ya uchoraji

Katika makala haya leo tunaangazia sanaa ya uchoraji na faida zake, fuatana na Edmond Lwangi Tcheli akiwa na Ernest Frank Mtingala msanii wa uchoraji kutoka Dar es Salaam Tanzania