Changu Chako, Chako Changu

Fahamu jinsi lugha ya Kifaransa inavyo zungumzwa nchini Cote d'Ivoire

Sauti 20:09

Katika makala haya leo utafahamu jinsi mataifa mengine yanavyozungumza lugha ya kifaransa, Pia utafahamu nini kinaendelea katika mchezo wa hirizi iliyovunjika sehemu ya tatu. Karibu ufuatane na ye Karume Asangama akiwa na Iluminatha Rwelamila