Mfahamu mwanadada Fantashia anayetamba katika R&B

Sauti 10:00

Makala ya muziki ijumaa juma hili inajikita kwa mwanadada Fantashia Moniqe Barino anayetamba katika miondoko ya R&B,...pia nyimbo za dini..akiwa na mafanikio mbalimbali kama kujipatia tuzo mbalimbali....pata uhondo!