Mwanamke akubali kuolewa na wanaume wawili Kenya

Sauti 10:05

Mjane mmoja mjini Mombasa nchini Kenya amekubali kuolewa na wanaume wawili baada ya kushindwa kumchagua mmoja kati yao kwa kile alichokisema anawapenda wote.Tunazungumzia suala ambalo sio rahisi kushuhudiwa katika mila na desturi za Kiafrika.Ungana na Martha Saranga