Nyumba ya Sanaa

Fahamu kuhusu muziki wa msanii TL-Moh kutoka Kenya

Sauti 19:41

Katika makala haya leo tunakuunganisha na msanii wa muziki kutoka nchini Kenya TL Moh, utasikia mengi kuhusu yeye, kazi yake ya muziki na mambo mengine tele. Karibu ufuatane na Edmond Lwangi Tcheli.