Jua Haki Zako

Haki za watoto

Sauti 08:45
Reuters

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameendelea kuangazia haki za watoto na namna ambavyo wazazi wanawajibika kuwapa haki hizo.