Nyumba ya Sanaa

Sanaa yawainua kimataifa kinamama watanzania

Sauti 19:12
Shughuli za sanaa za ufumaji imewainua kina mama kiuchumi huko Ngara Tanzania
Shughuli za sanaa za ufumaji imewainua kina mama kiuchumi huko Ngara Tanzania rfikiswahili

Karibu katika makala ya nyumba ya sanaa,juma hili tumeangazia sehemu ya mwisho ya Muendelezo wa kina shirika la Women craft linaloundwa na kina mama wanaojikita kutengeneza vitu vya sanaa ya asili waliojiunga katika soko la dunia....karibu!