Nyumba ya Sanaa

Msanii Ramadhani Hassan maarufu kwa jina la Ramso ndani ya Nyumba ya Sanaa

Sauti 19:51

Makala ya juma hili inazungumza na mwanamuziki wa muziki wa Bongo Fleva Ramadhani Hassan maarufu kwa jina la Ramso, sikiliza makala hii upate kujua mwelekeo wa muziki huu nchini Tanzania.