Changu Chako, Chako Changu

Michezo ya jumuiya ya nchi zinazozungumza Kifaransa

Sauti 19:36

Juma hili utapata kusikia dondoo muhimu kuhusiana na michezo ya jumuiya ya nchi zinazozungumza lugha ya kifaransa inayoendelea hivi sasa, aidha utapata kusikiliza mwendelezo wa mchezo mahiri wa Hirizi iliyovunjia.