Muziki Ijumaa

Msanii kutoka ukanda wa Afrika Mashariki Daddy Face

Sauti 10:21
Dady Face, msani kutoka ukanda wa Afrika Mashariki
Dady Face, msani kutoka ukanda wa Afrika Mashariki RFI

Makala haya ya Muziki Ijumaa leo yanamzungumzia msanii kutoka katika ukanda wa Afrika Mashariki ambaye anaendesha shughuli zake za Muziki nchini Marekani Daddy Face. Changamoto anazokumbana nazo katika shughuli zake za muziki.Ungana na Ally Bilali...........