Muziki Ijumaa

Franck Akyl msanii kutoka katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati anayeishi jijini London

Sauti 13:20
msanii Franck Akyl
msanii Franck Akyl Billy

Makala haya ya Muziki Ijumaa yanamleta kwenu Franck Akyl msanii kutoka jijini London mwenye asili ya ukanda wa Afrika Mashariki na kati. Kwa sasa Franck Akyl amekuwa katika harakati za kukamilishi Album yake ya tatu Humanite, ungana naye Ali Bilali kujuwa mengi zaidi kuhusu msanii huyo.