Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa na mkongwe wa muziki nchini Tanzania Kassin Said Mapili

Sauti 19:57

Juma hili katika makala ya Nyumba ya Sanaa tutakuwa na Mwanamuziki mkongwe wa nchini Tanzania Kassim Saili Mapili alitetembelea studio za RFI Kiswahili, sikiliza zaidi upate kujua historia na mwelekeo wa sanaa ya muziki kwa nchi ya Tanzania.