Changu Chako, Chako Changu

Changu chako chako changu

Sauti 20:09

Katika makala haya tunakuletea uhambuzi wa mambo mbalimbali yahusuyo utamaduni na mwingiliano wa lugha ya kifaransa katika nchi za Afrika.Fuatana na Karume Asangama na Iluminatha Rwelamira.