Muziki Ijumaa

Msanii kutoka Burundi Mpawenimana Juma Habibu Maharufu Kook-K

Sauti 10:00
RFI

Makala haya “Muziki Ijumaa” yanaangazia muziki wa kizazi kipya kutoka Burundi, baada ambapo msanii Kook-K kutoka nchini humo, anazungumzia kuhusu changamoto anazo kabiliana nazo katika kutengeneza Muziki huku akiwa pia msanii wa maigizo.Ungana na Ali Billy Bilali katika makala haya.........