Muziki Ijumaa

Godzilla Msanii wa kizazi kipya nchini Tanzania

Sauti 10:39
Godzilla Msanii wa kizazi kipya nchini Tanzania
Godzilla Msanii wa kizazi kipya nchini Tanzania RFI-Billy

Muziki Ijumaa hii leo tunamzungumzia msanii wa kizazi kipya nchini Tanzania wa miondoko ya Hip Hop Godzillah. Ambatana na mtangazaji Ali Bilali kujuwa wapi imefikia safari ya muziki wa msanii huyu na mipango yake ya baadaye.....