Changu Chako, Chako Changu

Changu chako chako changu, fasihi na burudani

Sauti 20:00

Katika makala haya utapata nafasi ya kusikiliza muziki wa taarabu asilia, muasisi wake, dhima yake na mambo kadha wa kadha  ya utamaduni kutoka kwa mwandaaji wa makala haya Karume Asangama sambamba na Iluminatha Rwelamira. Karibu