Muziki Ijumaa

Maisha ya mwanamuziki wa DRC King Kester Emeneya.

Imechapishwa:

Makala haya ya “ Muziki Ijumaa”, yanaangazia maisha ya mwanamuziki wa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, King Kester Emeneya, ambaye alifariki alhamisi februari 13 mwaka 2014.Ungana na Ally Bilali................. 

King Kester Emeneya, mwanamuziki wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, aliefariki 13 februari 2014 nchini Ufaransa
King Kester Emeneya, mwanamuziki wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, aliefariki 13 februari 2014 nchini Ufaransa RFI