Muziki Ijumaa

Bongo Fleva na Bongo Movie nchini Tanzania

Imechapishwa:

Beiby Madaha ni msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie nchini Tanzania ambaye kwa sasa anafanya kazi ya sanaa nchini Kenya, ndiye ambaye tuko naye leo kwenye makala ya Muziki Ijumaa Juma hili...............

Beiby Madaha, msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie nchini Tanzania (kushoto) akiwa na mwanahabari Ally Bilali katika moja ya studio za idhaa ya kiswahili ya rfi
Beiby Madaha, msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie nchini Tanzania (kushoto) akiwa na mwanahabari Ally Bilali katika moja ya studio za idhaa ya kiswahili ya rfi RFI