Changu Chako, Chako Changu

Lugha ya kifaransa katika mataifa ya Afrika mashariki na kati

Sauti 20:47

Kama kawaida makala ya Changu chako inaangazia Lugha ya kifaransa katika mataifa ya Afrika ya mashariki na kati hususan katika tamaduni za maeneo hayo.