Muziki Ijumaa

Msanii wa Muziki wa Taarab, Mfalme Mzee Yusuf

Sauti 10:13
Mzee Yusuf, Msanii aliye leta mapinduzi ya Muziki wa Taarab nchini Tanzania katika kuweka vionjo vya kisasa
Mzee Yusuf, Msanii aliye leta mapinduzi ya Muziki wa Taarab nchini Tanzania katika kuweka vionjo vya kisasa RFI

Makala haya ya Muziki Ijumaa leo tunakuletea msanii wa Muziki wa Taarab Mzee Yusuf anayejulikana kwa jina maarufu kama mfalme Yusuf. Ambatana na Ali Billy Bilali katika makala haya kujuwa wapi imefikia safari ya muziki huu wa Taarab.