Muziki Ijumaa

Bongo Fleva Mo Muzic

Sauti 09:57
Msanii wa Bongo Fleva Mo Muzic nchini Tanzania
Msanii wa Bongo Fleva Mo Muzic nchini Tanzania RFI/bilal

Muziki ijumaa Juma hili, Ali Bilali anazungumza na msanii wa Bongo Fleva Mo Muzic ambaye anakuja kwa kasi katika Muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania. Mo Muzic kwa sasa anatamba na Kibao chake Basi Nenda.