Miaka miwili baada ya kifo cha msanii wa Bongo movie Steven Kanumba

Sauti 13:36
Marehem Steven Charles Kanumba aliefariki katika usiku wa kuamkia April 7, mwaka 2011
Marehem Steven Charles Kanumba aliefariki katika usiku wa kuamkia April 7, mwaka 2011

Tarehe 11 April mwaka huu wa Tanzania, wamefanya kumbukumbu ya kifo cha hayati Steven Charles Kanumba, msanii wa tasnia ya Filamu, lakini pia alikuwa na kipaji cha Muziki na ambacho kiligundulika baada ya kufa kwake. Ungana na Ali Bilali ambaye alifuatilia pia shughuli za uzinduzi wa taasisi ya Kanumba Foundantion.