Nyumba ya Sanaa

Changamoto na fursa za sanaa na Edwin Semzaba

Sauti 16:24
RFI/Edmond Lwangi Tcheli

Edwin Semzaba ni mtanzania mtunzi wa vitabu, mwandishi wa tamthilia na riwaya, muigizaji na mtayarishaji. Pia ni mkufunzi katika Idara ya Sanaa na Maigizo katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, nchini Tanzania. Ushinda tuzo ya kwanza ya waandishi wa Afrika Mashariki iliyotolewa na Taasisi ya Unchunguzi wa Kiswahili, TUKI na pia tuzo ya Ubalozi wa Swiden nchini Tanzania mwaka 2007 na hapa anazungumzia fursa na changamoto zilizopo sasa katika tasnia ya sanaa afrika mashariki na kati.