Changu Chako, Chako Changu

Muziki wa Salsa, Chimbuko la Muziki wa Congo

Sauti 20:39
RUMBA
RUMBA DR

Je, wajua chimbuko la muziki wa Congo? Wajua chimbuko la muziki wa Salsa na miziki mengi kutoka visiwa vya Carribean. Sikiliza makala haya uburudike, uelimike na uhabarike. Pia, ruksa kuserebuka.