Muziki Ijumaa

Msaniii wa miondoko ya Taarab Omar Tego

Sauti 10:00
Msanii wa Miondoko ya Taarab Omar Tego akiwa studio za RFI na Ali Bilali
Msanii wa Miondoko ya Taarab Omar Tego akiwa studio za RFI na Ali Bilali Bilali/rfi

Makala ya Muziki Ijumaa juma hili tuko naye studio Omar Tego Msanii wa miondoko ya Taarab nchini Tanzania ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake Katiba, ambatana naye Ali Bilali katika makala haya ili kujuwa mengi zaidi kuhusu Omar Tego