Nyumba ya Sanaa

The Joy Band

Sauti 20:06
Kundi la wanamuziki wa The Joy Band
Kundi la wanamuziki wa The Joy Band RFI/Edmond Lwangi

Katika makala haya tunazungumza na wanamuziki wa hapa Dar es salaam wa The Joy Band kuzungumzia hatua walizozifikia baada ya kutamba mjini humo kwa takriban miaka saba.