Habari RFI-Ki

Uganda yapitisha sheria ya kulazimisha kupima Ukimwi

Sauti 10:06
Getty Images/Lonely Planet Images/Tom Cockrem

Uganda imepitisha mswaada unaotoa adhabu kali kwa watu wanaowaambukiza wengine virusi vya Ukimwi kwa makudi.Mswada huo unapendekeza adhabu ya kifungo cha hadi miaka 10 kwa wale wanaopatikana na hatia,lakini vile vile sherie hii inamtaka mwanamke mjamzito pamoja na mpenzi wake kupimwa virusi vya UkimwiJe unaizunguziaje sheria hii na unadhani itasaidia katika kupambana na maambukizi ya Virusi Ukimwi nchini humo kipindi cha Habari Rafiki kinangazia juu ya Sheria hiyo