Nyumba ya Sanaa

Wasanii wa Muziki wa Goma

Sauti 19:58
Katikati mwa mji wa Goma DRC
Katikati mwa mji wa Goma DRC L-L. W. / RFI

Mwenzangu Ruben Lukumbuka amezungumza na wasanii wa muziki wa mjini Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika muktadha wa baada ya vita kuzingumzia mchango wao katika kulijenga taifa hilo kama wadau wa maendeleo.